Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 1:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi nikawachukua vichwa vya makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa vichwa juu yenu, wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na wakuu wa 50 na wakuu wa makumi na maofisa wa makabila yenu.+

  • Kumbukumbu la Torati 20:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 “Maofisa+ pia watasema na watu, na kuwaambia, ‘Ni nani ambaye amejenga nyumba mpya naye hajaizindua? Na aende na kurudi nyumbani kwake, asije akafa vitani na mwanamume mwingine aizindue.+

  • Kumbukumbu la Torati 31:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Nikutanishie wanaume wote wazee wa makabila yenu na maofisa wenu,+ na acheni niseme masikioni mwao maneno haya, na acheni nichukue mbingu na dunia ziwe mashahidi dhidi yao.+

  • Yoshua 1:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo Yoshua akawaamuru maofisa wa watu, akisema:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki