-
1 Samweli 28:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Ndipo Sauli akaanguka chini upesi akiwa amejilaza chini mwili mzima, akaogopa sana kwa sababu ya maneno ya “Samweli.” Pia, kukawa hakuna nguvu zozote ndani yake, kwa sababu alikuwa hajala chakula mchana mzima na usiku mzima.
-