14 Na mpaka huo ukatiwa alama na kuzunguka upande wa magharibi kuelekea kusini kutoka katika mlima unaoelekeana na Beth-horoni upande wa kusini; na mwisho wake ukawa katika Kiriath-baali, yaani, Kiriath-yearimu,+ jiji la wana wa Yuda. Huo ndio upande wa magharibi.