Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 10:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Na roho+ ya Yehova hakika itaanza kutenda kazi juu yako, kisha utasema kama nabii+ pamoja nao, nawe utabadilishwa uwe mtu mwingine.

  • 1 Samweli 10:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Na ikawa kwamba wakati watu wote waliokuwa wakimjua hapo zamani walipomwona, tazama! alikuwa akitoa unabii pamoja na manabii. Basi watu wakaambiana: “Ni nini hili lililompata mwana wa Kishi? Je, Sauli pia yumo kati ya manabii?”+

  • 1 Samweli 19:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Naye pia akavua mavazi yake na kutenda, yeye pia, kama nabii mbele ya Samweli, akalala ameanguka chini akiwa uchi mchana huo wote na usiku huo wote.+ Hiyo ndiyo sababu walianza kusema: “Je, Sauli pia yumo kati ya manabii?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki