Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 10:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Basi wakatoka hapo wakaenda kwenye kilima, na tazama, kulikuwa na kikundi cha manabii kikija kumpokea; ndipo mara moja roho ya Mungu ikaanza kutenda kazi juu yake,+ naye akaanza kusema kama nabii+ katikati yao.

  • 1 Samweli 19:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 Naye akaendelea na safari yake kutoka hapo mpaka Naiothi katika Rama, na roho+ ya Mungu ikaja juu yake, ndiyo, juu yake, naye akaendelea kutembea na kutenda kama nabii mpaka alipoingia Naiothi katika Rama.

  • 1 Wafalme 18:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Na ikawa kwamba mara tu mchana ulipokwisha nao wakazidi kutenda kama manabii+ mpaka wakati wa kutolewa kwa toleo la nafaka, hapakuwa na sauti yoyote, wala hapakuwa na yeyote aliyejibu, wala aliyewasikiliza.+

  • 1 Wafalme 22:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Sasa mfalme wa Israeli na Yehoshafati mfalme wa Yuda walikuwa wameketi kila mmoja juu ya kiti chake cha ufalme, wakiwa wamevaa mavazi ya kifalme,+ katika uwanja wa kupuria kwenye mwingilio wa lango la Samaria; na manabii wote walikuwa wakitenda kama manabii mbele yao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki