25 Na mfalme alikuwa ameketi katika kiti chake kama katika zile nyakati nyingine, katika kiti kilicho kando ya ukuta; na Yonathani alikuwa anamwelekea, na Abneri+ alikuwa ameketi kando ya Sauli, lakini mahali pa Daudi palikuwa wazi.
22 Kwa hiyo Abneri akamwambia tena Asaheli: “Geuza mwendo wako, acha kunifuatilia. Kwa nini nikupige ufe na kuanguka chini?+ Hapo, basi, ningewezaje kuinua uso wangu kumwelekea Yoabu ndugu yako?”