Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 42:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Papo hapo Yosefu akakumbuka ndoto alizokuwa ameota juu yao,+ naye akaendelea kuwaambia: “Ninyi ni wapelelezi! Mmekuja kuona hali ya ukosefu wa ulinzi wa nchi hii!”+

  • Hesabu 13:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Tuma watu kwa ajili yako wapate kuipeleleza nchi ya Kanaani, ninayowapa wana wa Israeli.+ Mtamtuma mtu mmoja kwa ajili ya kila kabila la baba yake, kila mmoja wao mkuu+ kati yao.”

  • Yoshua 2:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Kisha Yoshua mwana wa Nuni akatuma kisiri wanaume wawili kutoka Shitimu,+ waende wakiwa wapelelezi, akawaambia: “Nendeni, angalieni nchi na Yeriko.” Basi wakaenda wakafika nyumbani kwa mwanamke mmoja kahaba ambaye jina lake lilikuwa Rahabu,+ nao wakakaa humo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki