Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 24:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Basi Daudi akainuka baadaye, akatoka nje ya lile pango na kumwita Sauli, akisema: “Bwana wangu+ mfalme!” Ndipo Sauli akatazama nyuma, naye Daudi akainama kifudifudi,+ akasujudu.

  • 2 Samweli 1:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 Na ikawa kwamba katika siku ya tatu, tazama! mtu+ fulani alikuwa anakuja kutoka katika kambi, kutoka kwa Sauli, mavazi yake yakiwa yameraruliwa+ na mavumbi yakiwa juu ya kichwa chake;+ na ikawa alipomjia Daudi, akaanguka chini+ mara moja na kulala kifudifudi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki