9 Ndipo Akishi akajibu na kumwambia Daudi: “Najua vema kwamba umekuwa mwema machoni pangu, kama malaika wa Mungu.+ Ila wakuu wa Wafilisti ndio wamesema, ‘Asipande pamoja nasi kwenda vitani.’
27 Kwa hiyo akamchongea+ mtumishi wako kwa bwana wangu mfalme. Lakini bwana wangu mfalme ni kama malaika+ wa Mungu wa kweli, na basi ufanye yaliyo mema machoni pako.