Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 12:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Na palikuwa na baadhi ya Wagadi waliojitenga kuwa upande wa Daudi katika mahali palipo pagumu kufikiwa nyikani,+ mashujaa, wanaume wenye nguvu, wanaume wa jeshi kwa ajili ya vita, wenye ngao kubwa na mkuki tayari,+ ambao nyuso zao zilikuwa nyuso za simba,+ nao walikuwa na mwendo kama swala juu ya milima.+

  • Wimbo wa Sulemani 2:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Mpaka mchana uvumishe upepo mtulivu na vivuli viwe vimekimbia, geuka, ewe mpenzi wangu; uwe kama swala+ au kama watoto wa paa juu ya milima ya kutenganisha.

  • Wimbo wa Sulemani 8:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 “Kimbia, mpenzi wangu, ujifanye kama swala au kama mtoto wa paa juu ya milima ya manukato.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki