Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 12:32
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 32 Na Yeroboamu akafanya sherehe katika mwezi wa nane siku ya kumi na tano ya mwezi huo, kama ile sherehe iliyokuwa katika Yuda,+ ili atoe matoleo juu ya madhabahu aliyokuwa ameijenga kule Betheli, ya kutoa dhabihu kwa wale ndama aliotengeneza; naye akaweka makuhani Betheli+ wahudumu mahali pa juu alipokuwa amejenga.

  • Amosi 3:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 ‘Maana, siku yangu ya kutoza hesabu+ kwa sababu ya maasi ya Israeli juu yake, mimi nitazitoza hesabu pia madhabahu za Betheli;+ na pembe za madhabahu zitakatiliwa mbali na kuanguka chini.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki