Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 10:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Na ikawa kwamba mara tu alipomaliza kutoa lile toleo la kuteketezwa, Yehu akawaambia mara moja wale wakimbiaji na maamiri wasaidizi: “Ingieni ndani, wapigeni na kuwaua! Msiache hata mmoja atoke nje.”+ Na wale wakimbiaji na maamiri wasaidizi+ wakaanza kuwapiga na kuwaua kwa makali ya upanga na kuwatupa nje, nao wakazidi kwenda mpaka kwenye jiji la nyumba ya Baali.

  • 2 Wafalme 23:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Tena akauondoa mti mtakatifu+ katika nyumba ya Yehova mpaka nje ya Yerusalemu, kwenye bonde la mto la Kidroni, akauteketeza+ kwa moto katika bonde la mto la Kidroni na kuusaga ukawa mavumbi, akayatupa mavumbi yake juu ya makaburi+ ya wana wa watu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki