-
Kumbukumbu la Torati 3:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Majiji yote hayo yalikuwa yametiwa ngome ya ukuta mrefu, milango na mapingo, mbali na miji mingi sana ya mashambani.
-