Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 4:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Baada ya hayo Kaini akamwambia Abeli ndugu yake: “Twende shambani.” Basi ikawa kwamba walipokuwa shambani Kaini akamshambulia Abeli ndugu yake, akamuua.+

  • 2 Samweli 3:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Abneri aliporudi Hebroni,+ Yoabu akampeleka kando ndani ya lango ili aseme naye kimyakimya.+ Hata hivyo, hapo akampiga tumboni,+ hata akafa kwa sababu ya damu ya Asaheli+ ndugu yake.

  • 2 Samweli 20:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Na Yoabu akamwambia Amasa: “Je, mambo ni mema kwako, ndugu yangu?”+ Ndipo mkono wa kuume wa Yoabu ukashika ndevu za Amasa ili ambusu.+

  • Methali 26:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Kwa midomo yake, mtu mwenye chuki hujificha asitambuliwe, lakini ndani yake huweka udanganyifu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki