Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 10:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mara moja Musa akainyoosha fimbo yake juu ya nchi ya Misri, naye Yehova akafanya upepo wa mashariki+ uvume juu ya nchi siku hiyo yote na usiku wote. Asubuhi ikafika nao upepo wa mashariki ukawaleta hao nzige.

  • Kumbukumbu la Torati 28:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 “Utapeleka mbegu nyingi shambani, lakini utakusanya chache,+ kwa sababu nzige wataimeza.+

  • Zaburi 78:46
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 46 Naye akaanza kuwapa mende mazao yao,

      Na kazi yao ngumu akawapa nzige.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki