15 Na ikawa kwamba mara tu Yezebeli aliposikia kwamba Nabothi amepigwa kwa mawe akafa, mara moja Yezebeli akamwambia Ahabu: “Ondoka, miliki shamba la mizabibu la Nabothi, Myezreeli,+ ambalo alikataa kukupa kwa pesa; kwa maana Nabothi hayuko hai tena, bali amekufa.”