-
1 Wafalme 18:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Basi wakamchukua yule ng’ombe mchanga aliyewapa. Kisha wakamtayarisha, nao wakaendelea kuliitia jina la Baali kutoka asubuhi mpaka katikati ya mchana, wakisema: “Ee Baali, tupe jibu!” Lakini hapakuwa na sauti yoyote,+ wala hakuna yeyote aliyetoa jibu.+ Nao wakazidi kurukaruka kuizunguka madhabahu waliyokuwa wameitengeneza.
-