-
Ezekieli 30:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Nami nitawasha moto katika Misri. Hakika Sini itakuwa katika maumivu makali, na No yenyewe itatekwa kwa kutobolewa matundu; na kwa habari ya Nofu—kutakuwa na wapinzani wakati wa mchana!
-