-
Hesabu 30:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 na mume wake awe amesikia jambo hilo na kukaa kimya kumwelekea, hakumkataza; na nadhiri zake zote zitasimama au nadhiri yoyote ya kujiepusha ambayo amefunga juu ya nafsi yake itasimama.
-