Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 25:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Katika siku ya tisa+ ya mwezi wa nne njaa+ ilikuwa kali ndani ya jiji, na hapakuwa na mkate+ kwa ajili ya watu wa nchi.

  • Ayubu 30:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Ngozi yangu ikawa nyeusi+ na kuanguka kutoka kwangu,

      Na mifupa yangu ikawaka moto kutokana na ukavu.

  • Maombolezo 4:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Sura yao imekuwa nyeusi kuliko weusi wenyewe. Hawakutambuliwa barabarani.+

      Ngozi yao imekauka juu ya mifupa yao.+ Imekauka kama mti.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki