Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 15:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Naye Miriamu nabii, dada ya Haruni,+ akachukua tari mkononi mwake;+ na wanawake wote wakaanza kutoka pamoja naye wakiwa na matari na kucheza dansi.+

  • 2 Wafalme 22:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi Hilkia kuhani na Ahikamu na Akbori na Shafani na Asaya wakaenda kwa Hulda nabii,+ mke wa Shalumu mwana wa Tikva mwana wa Harhasi, mtunzaji wa mavazi,+ kwa kuwa alikuwa akikaa katika Yerusalemu katika eneo la pili; nao wakaanza kusema naye.+

  • Luka 2:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Basi kulikuwako nabii Ana, binti ya Fanueli, wa kabila la Asheri (mwanamke huyu alikuwa amesonga sana katika miaka, na alikuwa ameishi pamoja na mume kwa miaka saba kutoka ubikira wake,

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki