Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 10:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 “Na itatukia kwamba Yehova atakapokomesha kazi yake yote katika Mlima Sayuni na katika Yerusalemu, ndipo nitakapotoza hesabu kwa ajili ya matunda ya dharau la moyo wa mfalme wa Ashuru na kwa ajili ya kujihesabia makuu kwa majivuno ya macho yake.+

  • Isaya 13:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 “Tazama, ninawaamsha Wamedi+ juu yao, ambao hawaioni fedha kuwa kitu na ambao, kwa habari ya dhahabu, hawapendezwi nayo.

  • Obadia 1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 1 Maono ya Obadia:

      Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova amesema hivi kuhusu Edomu:+ “Kuna habari ambayo tumesikia kutoka kwa Yehova, na kuna mjumbe ambaye ametumwa kati ya mataifa, ‘Simameni, na tusimame tupigane naye.’ ”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki