Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 7:2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 kwa maana kwa hukumu mnayohukumu, mtahukumiwa;+ na kwa kipimo mnachopimia, watawapimia ninyi.+

  • Luka 6:38
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 38 Muwe na mazoea ya kuwapa watu, na watu watawapa ninyi.+ Watawamwagia katika mfuko wa nguo zenu kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa pamoja na kufurika. Kwa maana kwa kipimo mnachopimia, watawapimia ninyi pia.”+

  • 2 Wakorintho 9:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Lakini kuhusu hili, yeye anayepanda kwa uhaba+ atavuna pia kwa uhaba; na yeye anayepanda kwa wingi+ atavuna pia kwa wingi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki