-
Hesabu 35:33, 34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 “‘Msiichafue nchi mnayoishi ndani yake, kwa sababu damu inachafua nchi,+ na hakuna msamaha kwa ajili ya damu iliyomwagwa nchini isipokuwa kwa kumwaga damu ya yule aliyeimwaga.+ 34 Msiitie unajisi nchi mnayoishi ndani yake, ambamo ninakaa; kwa maana mimi, Yehova, ninakaa miongoni mwa Waisraeli.’”+
-