Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 4
  • Kufunuliwa kwa Yule Mwasi Sheria

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufunuliwa kwa Yule Mwasi Sheria
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Kutambulisha “Mtu wa Kuasi [Sheria]”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • “Endeleeni Kukesha”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Uasi Juu ya Mungu Unafunuka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Hukumu ya Mungu Dhidi ya “Mtu wa Kuasi [Sheria]”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | 2 WATHESALONIKE 1-3

Kufunuliwa kwa Yule Mwasi Sheria

2:6-12

Paulo alikuwa akirejelea nini katika mistari hii?

  • Wakristo waasi-imani wakivuruga mkutano katika kutaniko la Kikristo la karne ya kwanza

    “Kinachomzuia” (mst. 6)—Inawezekana mitume

  • “Afunuliwe” (mst. 6)—Baada ya mitume kufa, Wakristo waasi-imani walionekana waziwazi kutokana na unafiki wao wa kidini na mafundisho ya uwongo

  • “Fumbo la uasi sheria huu” (mst. 7)—“Yule mwasi sheria” hakutambuliwa waziwazi katika siku za Paulo

  • Kikundi cha makasisi wakimshutumu ndugu aliyeshika Biblia

    “Yule mwasi sheria” (mst. 8)—Leo, mwasi sheria ni makasisi wa dini zinazodai kuwa za Kikristo

  • “Bwana Yesu atamwangamiza [yule mwasi sheria] . . . kupitia ufunuo wa kuwapo kwake” (mst. 8)—Yesu ataonyesha wazi kwamba yeye ni Mfalme mbinguni atakapotekeleza hukumu dhidi ya mfumo wa mambo wa Shetani, kutia ndani “yule mwasi sheria”

Mistari hii imekuchochea jinsi gani kuhubiri kwa bidii na kuwa na hisi ya uharaka?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki