Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Agosti uku. 7
  • Zile Amri Kumi Zinakuhusuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Zile Amri Kumi Zinakuhusuje?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Zile Amri Kumi za Mungu Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Wewe Una Maoni Gani Kuhusu Amri Kumi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
  • Je! Tuko Chini ya Zile Amri Kumi?
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
  • Amri Kumi Zina Maana Gani Kwako Wewe?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Agosti uku. 7
Musa akiwa amesimama mbele ya Mlima Sinai, akishika mabamba mawili ya mawe yaliyo na zile Amri Kumi.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 19-20

Zile Amri Kumi Zinakuhusuje?

20:3-17

Wakristo hawako chini ya Sheria ya Musa. (Kol 2:13, 14) Kwa hiyo basi, zile Amri Kumi na Sheria ya Musa zina faida gani kwetu leo?

  • Zinatusaidia kufahamu maoni ya Yehova kuhusu mambo fulani

  • Zinatuonyesha kile ambacho Yehova anataka tufanye ili tumpendeze

  • Zinatusaidia kutambua jinsi tunavyopaswa kuwatendea wengine

Unajifunza nini kumhusu Yehova kutokana na zile Amri Kumi?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki