CHEMBE ZA URITHI (Sayansi)
(Ona pia Chembe za Mwili; Chembe za Urithi [DNA]; Chembe za Urithi [Mabadiliko]; Mageuzi, Nadharia ya; Upachishaji)
chembe za urithi: lf 16, 18-19; g99 9/8 3, 5-6
idadi katika mwili wa binadamu: g01 12/8 28; g00 3/8 29
kome anarekebisha chembe za urithi zilizoharibika: g01 9/22 24
matibabu ya kutumia chembe za urithi: g 1/07 6; g01 6/8 8; g00 9/22 9-11; g96 2/22 29; g96 5/22 29; g96 9/22 6
“urithi unaotufanya tufanye ngono ovyoovyo”: g98 4/8 30
chembe za urithi za watu mbalimbali zinavyotofautiana: g 11/09 22
dhana ya kwamba tabia fulani zinarithiwa: w02 6/1 9-12; g96 9/22 4-8
kuchagua jinsia ya mtoto kabla ya mimba kutungwa: g97 4/8 28
kurefusha maisha kwa njia ya chembe za urithi: g00 7/8 20-22
kuwatambulisha watu: g03 8/8 28
maelezo: g99 9/8 3-10
makala za Amkeni! zathaminiwa: g00 4/8 30
mbinu za kubadili maumbile ya chembe za urithi:
gundi ya kome: g01 9/22 22-23
kupima ugonjwa: g 1/07 6-7; g00 9/22 8-9
makala za Amkeni! zathaminiwa: g01 5/22 30
mawaridi ya rangi ya bluu: g 10/07 26
mimea: g01 9/22 6, 11; g01 12/22 6; g00 4/22 25-27; g99 2/22 22
mnyanya unaositawi unapomwagiliwa maji ya chumvi: g02 4/8 28
utabiri kuhusu jinsi mbinu hizi zitakavyotumiwa kuhusiana na wanadamu: g00 9/22 3-11; g98 10/22 28
viuavijasumu (dawa za kuua viini): g96 2/22 11
mfumo wa chembe za urithi: lf 15-16, 20; g99 9/8 6-10
habari zote katika chembe za urithi “zimeandikwa” (Zb 139:16): g 11/11 4-5; lf 13, 17; w07 6/15 22-23
Mradi wa Kuchunguza Chembe za Urithi za Mwanadamu: g02 6/8 4; g01 12/8 28; g00 9/22 6, 8-9
ukuzi wa bakteria inayosababisha kifua kikuu waeleweka: g99 5/22 24
mwanzo wa wanadamu:
tofauti kubwa kati ya chembe za urithi za mwanadamu na za nyani: g03 12/22 29
uchunguzi wa chembe za urithi unaonyesha kwamba wanadamu wote ni uzao wa mwanamume mmoja na mwanamke mmoja: ct 98
sayansi ya uzalishaji wa watoto bora (eugenics): g00 9/22 4-6
telomere: la 21; g00 7/8 21-22; g00 12/8 18; w99 10/15 5
uhusiano kati ya chembe za urithi na—
ulevi sugu: g05 10/8 6