Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Mageuzi, Nadharia ya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mageuzi, Nadharia ya
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Manukuu
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MAGEUZI, NADHARIA YA

(Ona pia Darwin, Charles; Elimu ya Vitu vya Kale [Akiolojia]; Mabaki ya Mimea na Viumbe Hai wa Kale [Visukuku]; Sayansi ya Mabaki ya Mimea na Viumbe Hai wa Kale; Sayansi ya Miamba ya Dunia [Jiolojia]; Uteuzi wa Kiasili; Uumbaji)

(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)

barua kuhusu makala za Amkeni!: g01 2/22 30

chanzo cha uhai: w11 1/1 6; g 11/11 7-9; lf 4-12, 22-23; g 11/10 5; rs 161; ct 28-44, 48

majaribio ya Pasteur: ct 32; g96 12/8 24, 26-27

wanasayansi wasioamini kwamba kuna chanzo kimoja: lf 22-23

wanasayansi wasioamini kwamba vitu vilitokea vyenyewe tu: lf 4-6, 12; g 11/10 5; w08 1/1 16; g 9/06 11-12; w05 2/1 6; la 16; ct 43

chembe: lf 5-21; ct 32-34; g97 5/8 5, 8-9

chembe za urithi: g99 9/8 10

chembe za urithi (DNA): lf 13-21

DNA iliyodhaniwa haihitajiki: g 11/11 5-6; g05 2/22 21; g05 12/8 30

hazikutokea zenyewe: g04 6/22 6

kiasi cha habari katika chembe za urithi: lf 16; g99 9/8 6

wanadamu wote ni wazao wa mwanamume mmoja na mwanamke mmoja: ct 98

haijathibitishwa: g 9/06 13-17; g98 8/8 31

hakuna mabaki ya viumbe (visukuku) waliokuwa katika hatua ya kugeuka:

na hatimaye kuwa mwanadamu: lf 27-28

kama inapatana na akili: g00 6/8 31

kinachofanya watu waiamini: w08 1/1 16-17; w04 10/1 10

wanasayansi: lc 22; g 9/06 17; g98 8/8 31; g97 5/8 12

kuganda kwa damu: g97 5/8 5, 7

mabadiliko katika chembe: lc 19-20; g 9/06 13-15; rs 164

mabaki ya viumbe hai wa kale (visukuku): lf 23-27; g 9/06 16-17; rs 162-164

hakuna mabaki ya viumbe waliokuwa katika hatua ya kugeuka: g04 6/22 7-8

hayaonyeshi kwamba kuna mageuzi ya hatua kwa hatua: lc 22

kipindi cha Kambria: lf 22-24

kuna mabaki ya kutosha ya mimea na viumbe hai wa kale (visukuku): lc 22

mabawa ya wadudu: g97 6/22 18

maelezo: lc 18-23; lf 3-29; rs 161-168; g97 5/8 3-17

makadirio ya hisabati: g97 5/8 7

makala za Amkeni! zathaminiwa: g98 2/22 30; g98 4/8 30; g96 3/22 30

mambo yaliyoonwa:

hotuba ambazo wanafunzi Mashahidi walitoa shuleni: g 9/09 32; w00 2/15 32

maoni ya Biblia: rs 167-168, 392-393

kuamini mageuzi kunamfanya mtu akose kuona kusudi la maisha: lc 29

maana ya “aina” katika Mwanzo: lc 19, 27-28; g 9/06 13-14, 20

maoni tofauti kuhusu asili ya mwanadamu: g98 6/22 8-10

maoni ya kwamba Mungu alitumia mageuzi: lc 27-28; w08 1/1 14-16; g 9/06 9-10, 20

nadharia ya mageuzi ni tofauti na maadili na kanuni za Biblia: g04 6/22 12

maoni ya Mashahidi: g97 10/22 13

maoni ya wanasayansi:

maoni yanayotofautiana: rs 162

mtaalamu wa biokemia: w08 1/1 16; g 9/06 11-12; la 16

mwanafizikia: g03 8/8 32

mwanasayansi wa mikrobiolojia: lf 12

uwezo wa mwanadamu wa kupiga hesabu: ct 55

wataalamu wa mabaki ya viumbe hai wa kale: lf 23; g00 1/22 14

matokeo mabaya ya kuiamini:

dhana kuhusu jeuri (ukatili): g03 7/8 6

kuharibika kwa maadili: g 4/07 5; g98 6/22 4, 7

saikolojia inayotegemea nadharia ya mageuzi: w01 3/1 5; g98 6/22 3-4

mfumo wenye sehemu mbalimbali zinazotegemeana ili mfumo ufanye kazi: g97 5/8 5, 7

milia ya punda: g02 1/22 14

Miller, Stanley:

aumba asidi amino: lf 5; ct 34-39

mwanadamu ni wa pekee: g98 6/22 3-11

nadharia ya mageuzi haielezi jinsi sifa za mwanadamu zilivyotokea: w07 10/15 20-21; w07 12/15 30; g98 11/22 13

nadharia ya mageuzi haijathibitishwa kuwa ya kweli: g02 6/8 5

nadharia ya mageuzi inalinganishwa na uumbaji ili kuonyesha tofauti: lc 29

nadharia ya mageuzi ya kikemikali: g 11/11 7-9; lf 4-6; w08 1/1 16; g02 3/22 26-27; ct 32-44, 48; g97 5/8 7, 10

ndege (viumbe): g 7/07 25

manyoya: g 7/07 24-25

shore: lc 20-22; g 9/06 15-16

udanganyifu kuhusiana na mabaki ya viumbe wa kale: g 7/07 24; g00 7/22 28

njia za kukadiria muda ambao vitu vimekuwapo:

kipimo cha harakati-redio: rs 396

nyani-mtu: lf 27-29; rs 164-165

Homo habilis waliishi wakati uleule wa Homo erectus: g 4/08 30

michoro na sanamu za nyani-mtu: lf 28-29; rs 164-165

mtu wa Neanderthal: g 11/11 29; lf 28

mtu wa Piltdown: g97 7/8 31

ukubwa wa ubongo: lf 28

RNA: lf 5-6; ct 48

shuleni:

kutetea imani ya kwamba vitu vyote viliumbwa: yp2 300-303; g 9/06 26-28

masomo kuihusu: g98 8/8 31

ni kinyume cha sheria kufundisha kwamba vitu vilibuniwa kwa akili (Pennsylvania, Marekani): g 9/06 30

tofauti kubwa kati ya jamii mbalimbali:

chembe za urithi za mwanadamu na za nyani: g03 12/22 29

ubongo: g04 8/8 11-12

uchambuzi wa nadharia ya mageuzi:

maprofesa wanaoichambua: lf 4-5; g 11/10 5, 9; g00 6/8 31

wanasayansi wanaoichambua: lf 4-6, 12, 22-25; g 11/10 5; w07 10/15 20-21; rs 161-162; g04 6/22 8; g98 3/8 11; g98 8/8 31

uchunguzi kuhusu idadi ya watu wanaoiamini (Marekani): g 9/06 30

ufafanuzi: g 9/06 9; rs 161

mageuzi madogo, mageuzi makubwa: lc 18; g 9/06 13

mimea na viumbe wa aina mbalimbali (spishi): lc 19; g 9/06 13-14

uteuzi wa asili: lc 20-22; g 9/06 15-16

uwezekano wa uhai kutokea wenyewe: ct 30; g97 5/8 10, 12

viumbe wa kiume na wa kike: g04 6/22 6; g01 2/22 30

wanadini wanaamini nadharia ya mageuzi:

Kanisa Katoliki: g 5/08 30; g97 5/8 28; g97 5/22 28; g97 10/22 12-13

wanaoamini mageuzi hawaamini kwamba kuna Mungu: w04 10/1 10

wanasayansi wanaoamini kuna Muumba: g 2/10 23; g 9/06 21-23; rs 215, 390-392; g04 6/22 3-6, 8-9

Manukuu

asili haijatokeza mfululizo wa viumbe vinavyohusiana kwa ukaribu ambao nadharia ya Darwin yadai: g97 5/8 10

Darwin:

ikiwa kiungo chochote tata hakiwezekani kufanyizwa kwa marekebisho madogo-madogo, nadharia yangu ingeambulia patupu: g98 3/8 11; g97 5/8 6

Darwin hakupata kuwazia utata mkubwa sana uliopo hata katika hali za chini kabisa za uhai: g97 5/8 10

haiwezekani kabisa kwamba kitu kisicho na uhai pamoja na nishati zilijipanga zenyewe kwa utaratibu na kuwa hai bila kusaidiwa kwa njia yoyote: ct 38

haiwezi kueleza chanzo cha mifumo mingi ya kibiokemia: g97 5/8 10

haiwezi kufafanua chanzo cha viungo tata vya mwili: g97 5/8 10

hakuna uthibitisho kuonyesha kwamba mti wa uhai ni hakika: lf 23

humaanisha kwamba hakuna msingi thabiti wa maadili, wa maisha: g02 6/8 3

kana kwamba tumeshinda bahati-nasibu ya mamilioni ya dola mara milioni mfululizo: g97 5/8 10

lugha ya wanadamu inafedhehesha sana nadharia ya mageuzi: ct 61

mageuzi ya molekuli hayategemei mamlaka ya kisayansi: g97 5/8 10

maoni pekee yanayokubalika ni uumbaji: rs 162

maoni yote kuhusu biolojia yanahitaji kubadilishwa: lf 23

mti wa uhai unaendelea kuzikwa taratibu: lf 23

nadharia ya Darwin ya jinsi uhai ulivyoanza haitaeleweka milele: la 16; g00 1/22 9

ni hekaya kwamba Darwin alisuluhisha tatizo la chanzo cha utata wa kibiolojia: g97 5/8 10

orodha ya mambo yasiyoweza kufafanuliwa na mageuzi haina kikomo: g97 5/8 10

sayansi ambayo haitii ndani uwezekano wa uumbaji haitafuti kweli: g97 5/8 10

tatizo la chanzo cha uhai limekuwa gumu sana kuliko jinsi watu walivyowazia: ct 38

tofauti kubwa ya maoni kati ya wanabiolojia juu ya visababishi, hata juu ya utaratibu, kwa sababu uthibitisho hauridhishi: rs 162

uhai ulianzishwa kwa tendo lililopangwa na mtu mwenye akili: w99 6/15 17; ct 41

ukimya kuhusu jinsi mashine za molekuli zilivyotokea: g97 5/8 7, 10

uthibitisho wazi, madhubuti, wa ubuni: g00 1/22 8-9; w98 5/1 3-4; g98 3/8 11

wanasayansi wenye kuheshimika waitilia shaka: rs 162

wazo la kudhaniwa tu ambalo halina uthibitisho mzuri wa kisayansi: g97 5/8 10

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki