Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Australia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Australia
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Mashahidi wa Yehova
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

AUSTRALIA

(Ona pia Norfolk, Kisiwa cha; Tasmania; Visiwa vya Mlango-Bahari wa Torres)

(Kuna kichwa kidogo: Mashahidi wa Yehova)

afya na magonjwa: g97 7/8 28

kansa ya ngozi: g05 6/8 6

kupigwa kwa radi: g97 9/8 29

biashara:

uchimbuaji wa makaa: g05 6/22 11-14

Broome (Mji wa Lulu): g02 4/8 14-15

carillon (ala ya muziki): g96 6/22 24-25

dhahabu: g 2/11 19-21; g05 9/22 24-26

dini:

makanisa yauzwa: g96 3/22 29

malalamiko kuhusu mabadiliko katika tafsiri za kisasa: g96 5/22 28

maoni ya watu kuhusu Ista: g99 1/22 29

Siku ya Vijana Ulimwenguni ya Kanisa Katoliki (2008): g 6/09 24-27

ulaghai: g97 9/22 9

familia:

familia za mzazi mmoja: g02 10/8 5

kuridhika na mshahara mdogo ili kuwa na maisha bora: g03 9/22 29

hali ya hewa:

joto linaongezeka: g04 8/8 28

historia:

wafungwa kutoka Uingereza: g02 4/22 12-15; g02 12/22 30; g01 2/8 20-23

idadi ya watu:

Wachina: g 2/11 19-21

watu wa jamii mbalimbali: g97 10/8 16

kilimo:

kiasi cha maji kinachotumiwa: g04 8/8 29

kurundamana kwa chumvi udongoni: g05 1/8 7, 9; g04 8/22 25-27

mua: g00 8/8 21-24

Ua wa Kugawanya Jimbo (Ua wa Kuzuia Sungura): g03 2/8 14-15

Kisiwa cha Heard:

kinavyoathiriwa na ongezeko la joto la bahari: g02 1/22 29

kutoa mimba:

wanawake wenye mapato ya wastani: g05 4/22 29

lugha mbalimbali: w05 12/1 24

lulu: g02 4/8 14-15

maelezo: g97 10/8 16-19

maeneo mbalimbali:

Kisima Kikuu cha Artesia: g02 2/8 25-27

Kisiwa cha Fraser (kisiwa cha mchanga): g 3/06 14-17

Shark Bay: g 7/07 15-17

majaribio ya nyuklia: g98 3/8 7-8

makao yasiyo na mahali pa kupikia: g98 10/22 29

michezo:

michezo ya Olimpiki (Sydney, Septemba [Mwezi wa 9] 2000): g00 9/8 3, 6

mifuko inayoweza kuoza: g03 9/8 29

mioto: g02 9/22 24-27

moto huko Canberra (2003): g04 3/8 25

miti:

mbuyu: g 5/08 16-18

miwati ya kidhahabu (mgunga): g02 8/22 15-17

mkalitusi: g03 3/8 29; g02 10/8 29; g01 2/22 16-19

Mlango-Bahari wa Bass: g 11/08 15-17

ndege: g04 8/8 28

aina moja ya kasuku-kishungi: g03 9/22 7-8

brolga: g96 11/8 14-16

chiriku (kasuku mdogo): g02 10/22 28

emu: g05 2/22 14-15; g96 11/8 14-15, 17

jabiru: g96 11/8 14-17

kasowari: g96 11/8 14, 16

pengwini mdogo (Kisiwa cha Phillip): g02 10/22 15-17

tai mwenye mkia wenye umbo la kabari: g96 11/8 14, 16-17

ndoa:

kuishi pamoja kabla ya kufunga ndoa: g 3/07 22

nishati (umeme):

Mradi wa Nguvu za Umeme wa Milima ya Snowy: g97 10/22 16-19

ramani: w06 2/1 15; w05 4/1 30; g98 8/22 15

Eneo la Murray-Darling: g04 8/22 25

Kisima Kikuu cha Artesia: g02 2/8 25

Kisiwa cha Phillip: g02 10/22 15

Mlango-Bahari wa Bass: g 11/08 16-17

Shark Bay: g 7/07 15

Visiwa vya Mlango-Bahari wa Torres: w10 5/1 23-25

reli kutoka Adelaide mpaka Darwin: g 2/08 23-25

sayansi:

darubini nyingi za mawimbi ya redio: g03 6/8 15-17

kamera zinazofanana na macho ya mdudu: g02 9/22 28

kuondoa chumvi katika maji ya bahari: g00 8/22 29

saa inayoonyesha wakati kwa usahihi kabisa: g96 10/8 29

sheria:

mauaji ya huruma yahalalishwa (Mkoa wa Kaskazini): g97 2/22 29

Sydney: g99 7/8 14-19

talaka:

baada ya Krismasi na sherehe ya Mwaka Mpya: g 4/09 30

tiba:

madhara ya kutia damu mishipani: g02 2/22 28-29

wachimba makaburi wapewa kifaa cha kurudisha fahamu za watu wanaoshikwa na ugonjwa wa moyo: g 10/08 30

uchafuzi wa mazingira: g05 4/8 28

uhalifu:

gharama: g96 10/8 5

mauaji ya kikatili kwenye Port Arthur (Tasmania, 1996): g96 12/22 16-18

ulaghai wa kidini: g97 9/22 9

ukame: g 1/09 3

ukulima:

kulima kwa kutumia farasi: g97 7/22 30; g96 10/22 25-27

vijana:

hawapendi kupika: g97 10/8 29

uchunguzi kuhusu maadili: g96 8/22 29

viwavi wa baharini: g03 4/8 26-27

wadudu:

buibui anayekunja jani: g02 7/22 24

buibui wenye sumu: g04 8/8 28; g96 8/22 24-25

chungu wa asali: g 5/11 10-11

nyuki wasiouma: g00 11/8 12-14

viviringamavi wa Afrika waletwa Australia: g96 3/8 27

wanyama:

farasi mwitu: g01 4/8 16-19

kangaruu: g00 4/8 16-19

kasa: g 9/06 30

mamba: g96 1/22 24-27

ndege zinatumiwa kukusanya mifugo: g98 2/22 29

ngamia: g01 4/8 16-17; g98 4/8 28

nyoka wenye sumu: g96 8/22 24-25

paka wa mwituni: g04 2/8 20-21

pomboo aina ya Irrawaddy: g98 4/8 16-17

potoroo: g02 10/8 29

pulatipasi: g96 12/8 16-18

punda: g01 4/8 18-19

sungura wengi sana: g05 2/8 25-27

vyura aina ya Bufo marinus wanaoharibu miwa: g05 2/8 27

wanyama-vipenzi waachwa: g02 9/8 29

wanyama-vipenzi wanapendwa kuliko watu wa familia: g 5/08 30

wateja waharibifu: g 5/07 11

watoto:

wanene kupita kiasi: g96 12/22 28

wenyeji wa asili (Waaborijini):

didjeridu (ala ya muziki): g97 4/22 24-25

imani: w01 7/15 3; g98 8/22 12

mradi wa kutafsiri Biblia: g 3/06 29

Tasmania: g97 5/8 24

wimbo “Waltzing Matilda”: g97 3/8 30; g96 6/8 24-26

zoea la kucheza kamari: g00 4/22 28; g96 11/8 28

Mashahidi wa Yehova

Halmashauri ya Tawi: w12 7/15 21; yb11 182

kazi ya kuhubiri ilivyoanza: jv 418-419, 549

kituo cha redio: jv 81

kuhubiri katika lugha inayozungumzwa na watu wachache tu katika eneo: w05 12/1 24

kutumika katika maeneo yenye uhitaji mkubwa:

sehemu zilizo mbali na miji: w08 6/1 16-17

visiwa vya Pasifiki: jv 441, 470-471

Lightbearer (mashua): g99 10/22 20; jv 440-441

maeneo mbalimbali:

Derby: w06 2/1 14-16

Emerald: g98 8/22 13-14

Mlima Isa: g98 8/22 14-15

Majumba ya Kusanyiko: jv 328-329

Majumba ya Ufalme: jv 325

makolpota (watumishi wa wakati wote): jv 559

makusanyiko ya mzunguko na ya pekee: jv 457

makusanyiko ya wilaya na ya kimataifa: w06 10/1 12; g98 8/22 14; jv 456-457, 470-471, 641

makutaniko: g98 8/22 15

mambo yaliyoonwa utumishini: yb09 60-62

gari lenye vikuza sauti: jv 566

insha na mwenendo wa mwanafunzi Shahidi: yb04 47-48

kitabu Biblia Inafundisha: yb07 10-11

kukata tamaa: w12 11/1 13-14

meza yatumiwa kuonyesha vitabu kwenye kituo cha gari-moshi: w98 7/1 25

mfanyabiashara: w12 5/1 18-19

mfanyakazi katika ukumbi wa mazoezi anayejifunza Biblia amwalika mwanamke ahudhurie Ukumbusho: yb08 14

mpiganaji wa Karate: w12 7/1 13-14

msichana awaza, “Moja, Mbili, Tatu!”: km 5/03 1; w98 6/15 21

msichana Shahidi atoa hotuba kwenye mkutano kuhusu kushuka moyo: w05 11/1 15

mtu aliyekuwa amekatishwa tamaa na dini: w09 7/1 23-24

mwanafunzi mwenye miaka sita aeleza kuhusu kusanyiko: yb05 64

mwanamke mpweke mwenye kansa: yb07 64

mwanamume apata utulivu moyoni baada ya kusikiliza na kutazama DVD za Mashahidi: yb10 62

Mwislamu aliyekuwa mkulima wa tumbaku: w12 2/1 10-12

sehemu za mashambani: w05 4/1 30-31

Siku ya Vijana Ulimwenguni ya Kanisa Katoliki (2008): g 6/09 27

trakti iliyomfaa kabisa mwanamke aliyekuwa amesimama mbele ya nyumba yake: yb11 71

vipaza sauti kwenye gari na mashua: w07 11/1 10

wachungaji wa ng’ombe: w10 8/1 20-21; w08 6/1 17

walanguzi waliotumia dawa za kulevya: yp1 254-256; w10 2/1 19-20; w03 1/15 8-9

wanasayansi Wachina waliohamia Australia: g 2/11 21

watu waliotumia dawa za kulevya na kuishi maisha mapotovu: w11 2/1 10-11; w11 8/1 20-21; w09 7/1 23-24; g 11/07 24-25

wenyeji wa asili (Waaborijini): w10 8/1 20-21; w08 6/1 17; w05 4/1 30-31

mapainia: w12 5/15 14; w07 11/1 9-10; jv 445

wahamia nchi za kigeni ili kutumika katika eneo lenye uhitaji mkubwa: jv 441

walemavu: w09 5/1 29-31

marufuku (1941-1943): w07 11/1 11; re 92; w02 8/1 25-26; w01 4/1 25-27; jv 457, 586, 640-641, 657

mateso: w02 8/1 25

ndugu mwenye tatizo la usemi: yb11 69-70

ofisi ya tawi: jv 400

Ingleburn (1983): jv 335

Ingleburn (1989): jv 400

Melbourne (1904): g00 12/22 17; jv 210

Ofisi ya Uhandisi ya Kimkoa: jv 332, 400

shughuli za biashara wakati wa marufuku: jv 640-641

Strathfield (1972): jv 590, 592

yasimamia kazi katika eneo kubwa (miaka ya 1930): jv 445-446

yasimamia kazi katika Visiwa vya Samoa (2008): yb09 120

ongezeko: g98 8/22 15

ripoti ya kila mwaka: yb11 40-41; yb10 32-33; yb09 32-33; yb08 32-33; yb07 32-33; yb06 32-33; yb05 32-33; yb04 32-33

uasi-imani:

baada ya kifo cha Russell: jv 624

uchapaji: jv 400, 583, 592

kujalidi vitabu: jv 586

wakati wa marufuku: w02 12/1 26; jv 586

upinzani wa makasisi: jv 447-448

barua kutoka kwa askofu mkuu wa Sydney: jv 657

vijana:

msichana aliyelelewa na wazazi Mashahidi arudi katika kweli: w12 4/1 12-13; w11 11/1 3, 9

vitabu na magazeti:

idadi ya lugha: jv 400

kitabu The Harp of God: w02 8/1 24

vitabu Studies in the Scriptures: w02 8/1 23-24

vitabu vyapelekwa katika nchi nyingine: jv 400

viziwi:

kumlea mtoto aliye kiziwi: g04 4/8 14-15

waangalizi wanaosafiri: w12 7/15 18-19; w07 11/1 10-12; w06 10/1 12-13

waangalizi wa ofisi ya tawi: yb07 82; jv 445-446

waliohudhuria Shule ya Gileadi: w12 5/15 14-15; w12 7/15 19; jv 540-541

wamishonari: jv 539

watoto:

barua na zawadi kwa watoto wa Taganrog, Russia: w12 10/15 32

watu mbalimbali:

Barry, Melba: w01 4/1 24-27

Barry, W. Lloyd: w01 4/1 25-27

Baxter, Aubrey: w07 11/1 8-12

Baxter, Wallace: yb11 182

Brickell, Ben: g98 8/22 13-15; jv 288-289

Clark, Florence: w06 2/1 12-16

Connelly, Dorothy: g98 8/22 12-15

Davison, Lena: w07 6/1 16-17, 20

Finn, Bernadette: g01 6/22 20-23

Gaspar, Paulette: w09 5/1 29-31

Gjerde, Elva: w12 5/15 13-16

Gluyas, Harold: w04 10/1 24-28

Hahn, Kurt: g97 10/22 20-24

Hall, Will na Danielle: g 7/07 26-28

Horton, Bert: w06 10/1 12; jv 549, 566

Irwin, Dale: w06 10/1 11-15

Jaracz, Ted: w06 3/1 13

Johnston, William: yb07 82; jv 521

Koullapis, Costa: g99 12/8 18-21

Lewis, Mark: g 2/08 12-15

Lloyd, Max na Elsie: w12 7/15 17-19, 21

MacGillivray, Alexander: jv 445-446

MacLean, Donald H.: g01 8/22 13

Newlands, Bill: jv 445

Nicholson, Jane: jv 624

Nicholson, R. E. B.: jv 624

Nisbet, Robert: w03 4/1 30

O’Brien, Terrence na Margaret: w09 11/1 26-28

Partrick, David Zug: g96 1/8 19-23

Rekelj, Janez: w05 10/1 16-20

Rice, Frank: jv 286-287

Sanderson, Hadyn: w06 3/1 12-16

Sewell, John E. (Ted): jv 445

Smith, Muriel: w02 8/1 23-27

Tan, Sam na La: g 5/09 21-23

van der Monde, Sara: w11 11/15 15-16

Waldron, Dick: w02 12/1 24-27

Williams, Arthur, Sr.: jv 419

Willis, Arthur: jv 445

wenyeji wa asili (Waaborijini): w06 2/1 12-16; g98 8/22 12-15

ziara za—

Henschel, M. G.: jv 98, 641

Knorr, N. H.: jv 98, 470-471, 539, 641

Rutherford, J. F.: w01 4/1 25; jv 447-448

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki