DAWA ZA KULEVYA
(Ona pia Dawa; Kileo [Pombe]; Mazoea Sugu [Uraibu])
(Kuna vichwa vidogo: Dawa Mbalimbali za Kulevya; Nchi Mbalimbali)
dawa za kitiba: g 5/09 3-10; g97 3/8 28
dawa za kulevya zinazotengenezwa na wanadamu: g99 11/8 3-4
dawa zinazouzwa bila maagizo ya daktari: g01 7/8 4; g98 2/22 28
gharama: g99 11/8 7
kadiri ambavyo matumizi yameenea: g 3/06 29; g01 7/8 3-5; g99 11/8 3; g98 3/22 29; g97 12/8 28
kinachowafanya watu wazitumie: g01 7/8 6-8
kuacha kuzitumia: yp1 252-256; g 5/09 8-10; rs 53-54; w03 1/15 9; g03 4/8 7
kupima kama mtu ametumia dawa za kulevya:
kutiwa mkojo wa mtu mwingine ili matumizi yasigunduliwe: g01 7/8 4
madhara: rs 50-51; g99 7/8 6-7; g99 11/8 3, 8-10
kwa watu wanaozitumia: rs 50; g99 11/8 5, 8-9
kwa watu wengine: g99 11/8 5-7
madhara yanayosababishwa na utengenezaji: g03 4/22 28-29
maelezo: rs 48-54; g01 7/8 3-11; g99 11/8 3-14
magendo ya dawa za kulevya: g03 4/8 10; g01 7/8 9-10; g99 11/8 3-7; g96 8/8 29
jitihada za kuyakomesha: g99 11/8 11-14
manati yatumiwa kwa magendo: g 1/12 20
mapato: g98 3/22 29; g98 4/22 28
meli zinazosafiri chini ya uso wa maji zinatumiwa kusafirisha dawa za kulevya: g 2/11 29
nyambizi iliyotengenezwa kwa kusudi la kuzisafirisha: g01 5/22 28-29
ramani: g99 11/8 4-5
makala za Amkeni! zathaminiwa: g00 5/22 30
mambo yaliyoonwa:
akili iliyoharibika yawa timamu: g04 10/8 21
kweli yabadili maisha: w12 6/1 28; w11 2/1 10-11; w10 8/1 18-19; w10 10/1 22; rk 7-8; w09 2/1 28-29; w09 7/1 23-24; w08 6/1 13-15; g 11/07 24-25; w03 1/15 8-9; w03 9/15 8-9; w02 1/1 15; w01 2/1 6; w00 1/1 4; w00 6/1 8; km 5/99 1
mkutano kuhusu dawa za kulevya: w09 7/15 32
mtumiaji wa Kokeini: w12 5/1 19-20
mume aliyetumia dawa za kulevya: w05 10/15 5-6
wafungwa waliotumia dawa za kulevya: w05 12/15 9-10
walanguzi wa dawa za kulevya: w12 10/1 28-29; w10 2/1 19-20; yb08 53-54; w05 9/15 8; w02 2/1 27; g99 11/8 9-10, 13
watafunaji wa tambuu: g 2/12 24-25
watu walioacha kutumia dawa za kulevya: yp1 252-256; g 5/09 8-10; lv 96; g03 4/8 10; g01 7/8 10-11; g99 11/8 8-9, 12-13; w98 1/1 4; w97 9/1 29
wavutaji wa bangi: w10 5/1 26-27
maoni ya Biblia: lv 93, 95; od 200; rs 48-50; g01 11/8 30; jv 180-181; rq 25
kafeini: w07 4/15 30
maoni ya Mashahidi: jv 180-181
masimulizi ya maisha:
Kweli Ilinirudishia Uhai Wangu: g97 8/8 30; g96 10/22 12-15
Nilikuwa Mwana Mpotevu: g 12/06 13-15
matumizi:
gharama za matibabu (Marekani): g97 7/22 25-26
mambo yanayochangia: g03 3/22 29; g01 7/8 11
matumizi ya dawa za kulevya yatakomeshwa: g03 4/8 10; g01 7/8 11
jitihada za wanadamu zimeshindwa: g01 7/8 11
mawasiliano na pepo: rs 49
mbwa wanaonusa dawa za kulevya: g99 3/8 29
shuleni: g02 3/8 8
ufafanuzi: g01 7/8 3
uhalifu unaohusianishwa na dawa za kulevya: g99 11/8 7
uvutaji wa dawa za kulevya:
bangi: yp1 241
vijana: g05 4/8 3-4; g03 4/8 3-4; g01 7/8 6-7
dalili zinazoonyesha kwamba kijana anazitumia: w99 12/1 32
dawa za kulevya katika karamu za kucheza dansi usiku kucha: g02 11/8 28-29; g01 7/8 7-8; g97 12/22 25-26
kuwasaidia vijana wasizitumie: g03 3/22 29; g03 4/8 5-9
uchunguzi kuhusu vijana wanaozitumia (Ujerumani): g96 4/22 28
wanariadha:
watiwa mkojo wa mtu mwingine ili matumizi yasigunduliwe: g01 7/8 4
watoto:
kuwafundisha wajiepushe na dawa za kulevya: lr 55-56
wazazi wanavyoweza kuwalinda: g 5/09 6-8; g03 4/8 5-9; g99 11/8 10
wazazi: yp2 190-192, 194-197
Dawa Mbalimbali za Kulevya
(Ikiwa hakuna marejeo, ona kichwa kikuu)
bangi:
Ecstasy (MDMA): g02 11/8 28-29; g01 7/8 7-8; g97 12/22 26
heroini (kasumba):
kafeini:
kasumba:
Vita vya Kasumba: re 263
kokeini:
kokeini kali:
majani ya mkoka (ona kichwa Koka):
mchanganyiko wa tambuu, tumbaku, na popoo: g96 10/8 31
nikotini: g96 1/22 18, 20
jitihada za kuiuza: g99 4/22 28
steroidi:
tambuu (popoo):
Nchi Mbalimbali
Bolivia: g98 12/8 28
Italia: g 5/06 14
vijana: g04 6/8 29
Marekani: g 8/12 29
Wenyeji wa Asili wa Amerika (Wahindi Wekundu): g96 9/8 14
Poland: g 3/09 29; g05 2/8 28
Ulaya: g97 4/22 28