Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 29:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Basi kufika asubuhi akakuta kumbe ni Lea! Kwa hiyo akamwambia Labani: “Ni nini hili umenitendea? Je, sikukutumikia kwa ajili ya Raheli? Basi kwa nini umenifanyia ujanja?”+

  • Mwanzo 31:39
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 39 Mnyama yeyote aliyeraruliwa vipande-vipande sikukuletea.+ Mimi mwenyewe nililipa hasara yake. Iwe mmoja aliibwa wakati wa mchana au aliibwa wakati wa usiku, wewe ulimtaka mkononi mwangu.+

  • Kumbukumbu la Torati 24:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Katika siku yake utampa malipo yake,+ nalo jua lisitue juu yake, kwa sababu yeye yuko katika taabu naye anaiinua nafsi yake kwa malipo yake; ili asimlilie Yehova juu yako,+ na iwe dhambi kwako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki