Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 19:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Pia, usikusanye masalio+ ya shamba lako la mizabibu, wala usiokote zabibu zilizotawanyika za shamba lako la mizabibu. Ziache kwa ajili ya mwenye kuteseka na mkaaji mgeni.+ Mimi ni Yehova Mungu wenu.

  • Kumbukumbu la Torati 26:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Nawe utasema mbele za Yehova Mungu wako, ‘Nimeondolea mbali kilicho kitakatifu kutoka katika nyumba nami pia nimempa Mlawi na mkaaji mgeni, na mvulana asiye na baba na mjane,+ kulingana na amri yako yote ambayo umenipa mimi. Sijavunja amri zako, wala sijasahau.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki