-
1 Samweli 22:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa maana mmepanga hila, ninyi nyote, juu yangu; wala hakuna yeyote anayenifunulia masikioni+ mwangu wakati mwanangu mwenyewe anapofanya agano+ na mwana wa Yese, wala hakuna yeyote kati yenu anayenisikitikia na kunifunulia masikioni mwangu kwamba mwanangu mwenyewe amemwinua mtumishi wangu juu yangu kuwa mviziaji kama ilivyo leo hii.”
-