Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 4:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Basi Yonathani,+ mwana wa Sauli, alikuwa na mwana mwenye kulemaa miguu.+ Alikuwa na umri wa miaka mitano wakati habari juu ya Sauli na Yonathani ilipofika kutoka Yezreeli;+ na mlezi wake akamchukua, akakimbia, lakini ikawa kwamba huyo mwanamke alipokuwa akikimbia akiwa na wasiwasi ili aponyoke, ndipo mtoto huyo akaanguka na kulemaa. Na jina lake lilikuwa Mefiboshethi.+

  • 2 Samweli 9:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Nawe umlimie udongo, wewe na wana wako na watumishi wako, nawe utayakusanya mavuno, nayo yatakuwa chakula kwa walio wa mjukuu wa bwana wako, nao watakula; lakini Mefiboshethi, mjukuu wa bwana wako, atakula mkate mezani pangu sikuzote.”+

      Basi Siba alikuwa na wana 15 na watumishi 20.+

  • 2 Samweli 19:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Na Mefiboshethi+ mjukuu wa Sauli akashuka kuja kumpokea mfalme; naye hakuwa ametunza miguu+ yake wala kutunza masharubu+ yake wala kufua mavazi yake tangu siku ile mfalme alipoondoka mpaka siku ile alipokuja kwa amani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki