-
2 Samweli 14:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Na mfalme akaendelea kusema: “Je, mkono wa Yoabu+ upo pamoja nawe katika mambo haya yote?”+ Ndipo yule mwanamke akajibu na kusema: “Kama inavyoishi nafsi yako,+ Ee bwana wangu mfalme, hakuna mtu anayeweza kwenda upande wa kuume wala wa kushoto kutoka kwa yote ambayo bwana wangu mfalme amesema; kwa maana mtumishi wako Yoabu ndiye aliyeniamuru, naye ndiye aliyetia maneno haya yote katika kinywa cha mjakazi wako.+
-