Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 20:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Na Yonathani akaendelea kumwambia Daudi: “Nenda kwa amani,+ kwa maana tumeapa,+ sisi wawili, katika jina la Yehova, tukisema, ‘Yehova na awe kati yangu na wewe na kati ya uzao wangu na uzao wako mpaka wakati usio na kipimo.’”+

      Basi Daudi akaondoka, akaenda zake, na Yonathani akarudi jijini.

  • 2 Samweli 15:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Basi mfalme akamwambia: “Nenda kwa amani.”+ Naye akaondoka, akaenda Hebroni.

  • 2 Wafalme 5:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Naye akamwambia: “Nenda kwa amani.”+ Basi akaenda zake kutoka kwake kwa umbali mkubwa kutoka nchi hiyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki