-
Yohana 10:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Yesu akawajibu: “Niliwaonyesha kazi nyingi nzuri kutoka kwa Baba. Kati ya kazi hizo mnataka kunipiga kwa mawe kwa sababu ya kazi gani?”
-
-
Yohana 18:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Yesu akamjibu: “Ikiwa nimesema vibaya, toa ushahidi kuhusu ubaya wenyewe; lakini ikiwa nimesema sawasawa, kwa nini unanipiga?”
-