Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 10:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Ndipo akampa+ mfalme talanta 120 za dhahabu+ na mafuta mengi sana ya zeri+ na mawe ya thamani. Hayakuletwa kamwe tena mafuta ya zeri yaliyo mengi kama yale ambayo malkia wa Sheba alimpa Mfalme Sulemani.

  • 2 Mambo ya Nyakati 17:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na Yehova akaendelea kuufanya imara ufalme mkononi mwake;+ na Yuda wote wakaendelea kumpa Yehoshafati zawadi,+ naye akawa na utajiri na utukufu mwingi.+

  • Methali 18:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Zawadi ya mwanadamu itamfungulia nafasi kubwa,+ nayo itamwongoza hata mbele ya watu wakuu.+

  • Mathayo 2:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Nao walipoingia ndani ya ile nyumba wakamwona huyo mtoto mchanga pamoja na Maria mama yake, wakaanguka chini na kumsujudia mtoto. Pia wakafungua hazina zao na kumtolea zawadi, dhahabu na ubani na manemane.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki