Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 49:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Fimbo ya enzi haitageuka kando kutoka kwa Yuda,+ wala fimbo ya kiongozi kutoka katikati ya miguu yake, mpaka Shilo aje;+ na vikundi vya watu vitamtii yeye.+

  • 2 Samweli 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Basi Mfalme Daudi akatuma ujumbe kwa Sadoki+ na Abiathari,+ makuhani, akisema: “Semeni na wanaume wazee wa Yuda+ hivi, ‘Kwa nini ninyi muwe wa mwisho kumrudisha mfalme nyumbani kwake, wakati neno la Israeli wote limemfikia mfalme nyumbani kwake?

  • 2 Samweli 19:42
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 42 Ndipo watu wote wa Yuda wakawajibu watu wa Israeli: “Kwa sababu mfalme ni mtu wa karibu wa jamaa yetu;+ na kwa nini mmekasirika kwa ajili ya jambo hili? Je, sisi tumekula kwa gharama ya mfalme, au je, tumepewa zawadi?”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki