-
1 Samweli 21:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Ndipo kuhani akasema: “Upanga wa Goliathi+ yule Mfilisti, uliyempiga katika nchi tambarare ya chini ya Ela+—huu hapa, umefungwa katika nguo ya kujitanda, nyuma ya efodi.+ Ikiwa unataka kuuchukua, uchukue, kwa sababu hakuna silaha nyingine yoyote isipokuwa upanga huu.” Naye Daudi akasema tena: “Hakuna upanga mwingine kama huo. Unipe huo.”
-