-
Yohana 3:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Nikodemo akamwambia: “Mtu anawezaje kuzaliwa akiwa mzee? Je, anaweza kuingia katika tumbo la uzazi la mama yake mara ya pili na kuzaliwa?”
-