Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 18:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Mfalme amesema hivi, ‘Msiache Hezekia awadanganye ninyi, kwa maana hawezi kuwakomboa kutoka mkononi mwangu.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 32:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Na sasa msiache Hezekia awadanganye+ wala kuwashawishi+ ninyi hivyo wala msimwamini, kwa maana hakuna mungu yeyote wa taifa lolote au ufalme aliyeweza kuwakomboa watu wake kutoka mkononi mwangu na kutoka mkononi mwa mababu zangu. Basi, Mungu wenu atawezaje kuwakomboa ninyi kutoka mkononi mwangu!’”+

  • Danieli 3:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Basi sasa ikiwa mko tayari ili mnaposikia sauti ya baragumu, zumari, zeze, kinubi chenye pembe tatu, kinanda, zumari-tete na aina zote za vyombo vya muziki,+ mwanguke chini na kuiabudu sanamu ambayo nimeitengeneza, ni vema. Lakini msipoabudu, mtatupwa wakati huohuo ndani ya tanuru inayowaka moto. Na ni mungu gani huyo anayeweza kuwaokoa ninyi kutoka mikononi mwangu?”+

  • Danieli 6:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Alipolikaribia lile shimo, akampaazia Danieli sauti kwa huzuni. Mfalme akasema kwa sauti na kumwambia Danieli: “Ee Danieli, mtumishi wa Mungu aliye hai, je, Mungu wako unayemtumikia daima+ amekuokoa kutoka kwa hao simba?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki