Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:48
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 48 Nawe utalazimika kuwatumikia adui+ zako ambao Yehova atawatuma juu yako kwa njaa+ na kiu na uchi na uhitaji wa kila kitu; naye hakika ataweka nira ya chuma katika shingo yako mpaka atakapokuwa amekuangamiza wewe.+

  • Yeremia 5:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Na itakuwa kwamba mtasema, ‘Kwa sababu gani Yehova Mungu wetu ametutendea mambo haya yote?’+ Nawe utawaambia, ‘Kama mlivyoniacha mimi, kwenda kumtumikia mungu wa kigeni katika nchi yenu, ndivyo mtakavyowatumikia wageni katika nchi ambayo si yenu.’”+

  • Yeremia 27:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Na mataifa yote lazima wamtumikie yeye+ na mwana wake na mjukuu wake mpaka uje wakati wa nchi yake mwenyewe,+ na mataifa mengi na wafalme wakuu watamtumikisha kama mtumishi.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki