-
Matendo 12:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Sasa Herode alipokuwa karibu kumtoa, usiku huo Petro alikuwa amelala akiwa amefungwa kwa minyororo miwili katikati ya askari-jeshi wawili, na walinzi mbele ya mlango walikuwa wakililinda gereza.
-