Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 3
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani—Yaliyomo

    • MSICHANA MSHULAMI AKIWA KWENYE KAMBI YA MFALME SULEMANI (1:1–3:5)

    • MSHULAMI AKIWA YERUSALEMU (3:6–8:4)

        • Mabinti wa Sayuni (6-11)

          • Maelezo kuhusu msafara wa Sulemani

Wimbo wa Sulemani 3:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “yule ambaye nafsi yangu inampenda.”

Marejeo

  • +Wim 1:7
  • +Wim 5:6

Wimbo wa Sulemani 3:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “yule ambaye nafsi yangu inampenda.”

Wimbo wa Sulemani 3:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “yule ambaye nafsi yangu inampenda?”

Marejeo

  • +Wim 5:7

Wimbo wa Sulemani 3:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “yule ambaye nafsi yangu inampenda.”

Marejeo

  • +Wim 8:2

Wimbo wa Sulemani 3:5

Marejeo

  • +Wim 2:7; 8:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 31

    11/15/2006, kur. 18-19

    11/15/1987, kur. 24-25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18-19

Wimbo wa Sulemani 3:6

Marejeo

  • +Kut 30:23, 24, 34

Wimbo wa Sulemani 3:7

Marejeo

  • +1Fa 9:22

Wimbo wa Sulemani 3:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Kochi lililofunikwa ambalo lilitumiwa kuwabeba watu mashuhuri.

Marejeo

  • +1Fa 5:8, 9

Wimbo wa Sulemani 3:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “shada; koja la maua.”

Marejeo

  • +2Sa 12:24; Met 4:3

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 3:1Wim 1:7
Wim. 3:1Wim 5:6
Wim. 3:3Wim 5:7
Wim. 3:4Wim 8:2
Wim. 3:5Wim 2:7; 8:4
Wim. 3:6Kut 30:23, 24, 34
Wim. 3:71Fa 9:22
Wim. 3:91Fa 5:8, 9
Wim. 3:112Sa 12:24; Met 4:3
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 3:1-11

Wimbo wa Sulemani

3 “Nyakati za usiku nikiwa kitandani mwangu,

Nilimtafuta ninayempenda.*+

Nilimtafuta mwanamume huyo lakini sikumpata.+

 2 Nitaamka na kuzunguka jijini;

Barabarani na katika viwanja vya mji,

Acheni nimtafute ninayempenda.*

Nilimtafuta mwanamume huyo, lakini sikumpata.

 3 Nilikutana na walinzi waliokuwa wakizunguka jijini.+

Nikawauliza, ‘Mmemwona ninayempenda?’*

 4 Mara tu baada ya kuwapita

Nilimpata ninayempenda.*

Nikamshika na sikumwacha aende

Mpaka nilipomleta ndani ya nyumba ya mama yangu,+

Katika chumba cha ndani cha aliyenizaa.

 5 Nawaapisha, enyi binti za Yerusalemu,

Kwa swala na paa jike wa porini:

Msijaribu kuamsha au kuchochea upendo ndani yangu mpaka utakapoamka wenyewe.”+

 6 “Ni nini hiki kinachokuja kutoka nyikani kama nguzo za moshi,

Kilicho na manukato ya manemane na ubani,

Na manukato yote ya ungaunga yanayouzwa na wafanyabiashara?”+

 7 “Tazameni! Ni kochi la Sulemani.

Wanaume sitini mashujaa wanalizunguka,

Miongoni mwa wanaume mashujaa wa Israeli,+

 8 Wote wamejihami kwa upanga,

Wote wamezoezwa kwa ajili ya vita,

Kila mmoja wao ana upanga kiunoni

Ili akabiliane na mambo yanayotisha wakati wa usiku.”

 9 “Ni kochi la kifahari* la Mfalme Sulemani

Alilojitengenezea kwa mbao za Lebanoni.+

10 Alitengeneza nguzo zake kwa fedha,

Viegemeo vyake kwa dhahabu.

Kiti chake kwa sufu ya zambarau;

Sehemu yake ya ndani ilipambwa kwa upendo

Na mabinti wa Yerusalemu.”

11 “Tokeni nje, enyi binti za Sayuni,

Mtazameni Mfalme Sulemani

Amevaa taji la harusi* ambalo mama yake+ alimtengenezea

Siku yake ya harusi,

Siku ambayo moyo wake ulishangilia.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki