Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani—Yaliyomo

    • MSICHANA MSHULAMI AKIWA KWENYE KAMBI YA MFALME SULEMANI (1:1–3:5)

        • Wimbo wa nyimbo (1)

        • Msichana (2-7)

        • Mabinti wa Yerusalemu (8)

        • Mfalme (9-11)

          • “Tutakutengenezea mapambo ya dhahabu” (11)

        • Msichana (12-14)

          • ‘Mpenzi wangu ni kama mfuko wa manukato ya manemane’ (13)

        • Mchungaji (15)

          • “Wewe ni mrembo, mpenzi wangu”

        • Msichana (16, 17)

          • “Wewe ni mrembo, mpenzi wangu” (16)

Wimbo wa Sulemani 1:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Wimbo ulio bora.”

Marejeo

  • +1Fa 4:29, 32

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 17

    “Kila Andiko,” uku. 115

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 17

Wimbo wa Sulemani 1:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Anayeongea ni msichana.

Marejeo

  • +Wim 4:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, kur. 30-31

    11/15/2006, uku. 18

    11/15/1987, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:3

Marejeo

  • +Met 27:9; Mhu 9:8; Wim 5:5
  • +Mhu 7:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, kur. 30-31

    11/15/2006, uku. 18

    11/15/1987, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Nivute nikufuate.”

  • *

    Au “tusimulie.”

  • *

    Yaani, wale wasichana.

Wimbo wa Sulemani 1:5

Marejeo

  • +Zb 120:5; Eze 27:21
  • +Kut 36:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2015, uku. 32

    Amkeni!,

    3/22/1994, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 1:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “ambaye nafsi yangu inakupenda.”

  • *

    Tnn., “shela ya maombolezo.”

Marejeo

  • +Wim 6:3

Wimbo wa Sulemani 1:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “farasi jike wangu.”

Marejeo

  • +1Fa 10:28; 2Nya 1:16, 17; Wim 6:4

Wimbo wa Sulemani 1:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Au labda, “kati ya nywele zilizosukwa.”

Wimbo wa Sulemani 1:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “mapambo ya duara ya kichwani.”

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/1987, uku. 24

Wimbo wa Sulemani 1:12

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Nardo.”

Marejeo

  • +Wim 4:13, 14

Wimbo wa Sulemani 1:13

Marejeo

  • +Kut 30:23, 25; Est 2:12; Zb 45:8; Wim 4:6; 5:13

Wimbo wa Sulemani 1:14

Marejeo

  • +Wim 4:13
  • +Yos 15:20, 62; 1Sa 23:29; 2Nya 20:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/1989, uku. 17

Wimbo wa Sulemani 1:15

Marejeo

  • +Wim 4:1; 5:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 18

Wimbo wa Sulemani 1:16

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “una sura nzuri.”

Marejeo

  • +Wim 5:10

Wimbo wa Sulemani 1:17

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “nyumba yetu kubwa.”

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 1:11Fa 4:29, 32
Wim. 1:2Wim 4:10
Wim. 1:3Met 27:9; Mhu 9:8; Wim 5:5
Wim. 1:3Mhu 7:1
Wim. 1:5Zb 120:5; Eze 27:21
Wim. 1:5Kut 36:14
Wim. 1:7Wim 6:3
Wim. 1:91Fa 10:28; 2Nya 1:16, 17; Wim 6:4
Wim. 1:12Wim 4:13, 14
Wim. 1:13Kut 30:23, 25; Est 2:12; Zb 45:8; Wim 4:6; 5:13
Wim. 1:14Wim 4:13
Wim. 1:14Yos 15:20, 62; 1Sa 23:29; 2Nya 20:2
Wim. 1:15Wim 4:1; 5:2
Wim. 1:16Wim 5:10
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 1:1-17

Wimbo wa Sulemani

1 Wimbo wa nyimbo,* ambao ni wa Sulemani:+

 2 “Unibusu* kwa mabusu ya kinywa chako,

Kwa maana maonyesho yako ya mapenzi ni bora kuliko divai.+

 3 Manukato ya mafuta yako mbalimbali yanapendeza.+

Jina lako ni kama mafuta yaliyomiminwa yenye manukato.+

Ndiyo sababu wasichana wanakupenda.

 4 Nichukue;* acha tukimbie.

Mfalme amenileta katika vyumba vyake vya ndani!

Na tufurahi na kukushangilia.

Na tusifu* maonyesho yako ya mapenzi kuliko divai.

Wana* haki ya kukupenda.

 5 Mimi ni mweusi, lakini napendeza, enyi mabinti wa Yerusalemu,

Kama mahema ya Kedari,+ kama vitambaa vya mahema+ ya Sulemani.

 6 Msinikodolee macho kwa sababu mimi ni mweusi,

Kwa sababu jua limenichoma.

Wana wa mama yangu walinikasirikia;

Walinifanya kuwa mlinzi wa mashamba ya mizabibu,

Lakini sikulinda shamba langu mwenyewe la mizabibu.

 7 Niambie, wewe ninayekupenda* sana,

Mahali unapochunga mifugo yako,+

Mahali unapoipumzisha wakati wa adhuhuri.

Kwa nini niwe kama mwanamke aliyefunikwa shela*

Kati ya makundi ya wenzako?”

 8 “Ikiwa hujui, ewe mwanamke mrembo kuliko wote,

Nenda ufuate nyayo za mifugo

Na uchunge wanambuzi wako karibu na mahema ya wachungaji.”

 9 “Ewe mpenzi wangu, nakufananisha na farasi jike* kati ya magari ya Farao.+

10 Mashavu yako yanavutia kwa mapambo,*

Shingo yako kwa mikufu ya shanga.

11 Tutakutengenezea mapambo* ya dhahabu

Yaliyotiwa vifungo vya fedha.”

12 “Mfalme anapokuwa ameketi kwenye meza yake ya mviringo,

Marashi* yangu+ hunukia.

13 Mpenzi wangu ni kama mfuko wa manemane unaonukia manukato+

Unaokaa usiku kucha katikati ya matiti yangu.

14 Mpenzi wangu kwangu mimi ni kama kishada cha maua ya hina+

Kati ya mashamba ya mizabibu ya En-gedi.”+

15 “Tazama! Wewe ni mrembo, mpenzi wangu.

Tazama! Wewe ni mrembo. Macho yako ni macho ya njiwa.”+

16 “Tazama! Wewe ni mrembo,* mpenzi wangu, na unapendeza.+

Kitanda chetu kiko kati ya majani mabichi.

17 Maboriti ya nyumba yetu* ni mierezi,

Mapau yetu ni miberoshi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki