Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wakorintho 9
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Wakorintho—Yaliyomo

      • Wachochewa kutoa (1-15)

        • Mungu humpenda mtoaji mchangamfu (7)

2 Wakorintho 9:1

Marejeo

  • +Ro 15:26; 1Ko 16:1; 2Ko 9:12

2 Wakorintho 9:6

Marejeo

  • +Met 11:24; 19:17; 22:9; Mhu 11:1; Lu 6:38

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/15/1986, kur. 15-20

2 Wakorintho 9:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “bila kutaka.”

Marejeo

  • +Kum 15:7, 10
  • +Kut 22:29; Met 11:25; Mdo 20:35; Ebr 13:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 155

    Furahia Maisha Milele!, somo la 55

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, uku. 196

    Mnara wa Mlinzi,

    9/1/2013, uku. 13

    12/1/2012, uku. 5

    11/1/1998, uku. 26

    12/1/1992, uku. 15

    1/15/1992, kur. 14-15, 18-19

    Amkeni!,

    5/2008, uku. 21

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 12/1 5; g 5/08 21; w98 11/1 26

2 Wakorintho 9:8

Marejeo

  • +Met 28:27; Mal 3:10; Flp 4:18, 19

2 Wakorintho 9:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kwa ukarimu.”

Marejeo

  • +Zb 112:9

2 Wakorintho 9:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, kur. 210-212

2 Wakorintho 9:12

Marejeo

  • +Ro 15:26, 27; 2Ko 8:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, kur. 210-213

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2000, kur. 11-12

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 11/15 11-12

2 Wakorintho 9:13

Marejeo

  • +Mt 5:16; Ebr 13:16; Yak 1:27; 1Yo 3:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, kur. 210-212

    Mnara wa Mlinzi,

    10/15/1986, uku. 14

2 Wakorintho 9:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, kur. 210-212, 216

2 Wakorintho 9:15

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 2 2017, uku. 4

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2016, kur. 12-13

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2015, uku. 14

    12/1/1993, uku. 28

    1/15/1992, uku. 19

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, kur. 210-212

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Kor. 9:1Ro 15:26; 1Ko 16:1; 2Ko 9:12
2 Kor. 9:6Met 11:24; 19:17; 22:9; Mhu 11:1; Lu 6:38
2 Kor. 9:7Kum 15:7, 10
2 Kor. 9:7Kut 22:29; Met 11:25; Mdo 20:35; Ebr 13:16
2 Kor. 9:8Met 28:27; Mal 3:10; Flp 4:18, 19
2 Kor. 9:9Zb 112:9
2 Kor. 9:12Ro 15:26, 27; 2Ko 8:14
2 Kor. 9:13Mt 5:16; Ebr 13:16; Yak 1:27; 1Yo 3:17
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Wakorintho 9:1-15

Barua ya Pili kwa Wakorintho

9 Basi kuhusu huduma ambayo ni kwa ajili ya watakatifu,+ kwa kweli si lazima niwaandikie ninyi, 2 kwa maana ninajua utayari wenu ambao ninajisifia kwa Wamakedonia, kwamba Akaya imekuwa tayari kwa mwaka mmoja sasa, na bidii yenu imewachochea wengi kati yao. 3 Lakini ninawatuma akina ndugu, ili kujisifu kwetu juu yenu kusiwe bure kuhusiana na jambo hilo, na kwamba muwe tayari kwelikweli, kama nilivyosema mtakuwa. 4 La sivyo, Wamakedonia wakija pamoja nami na kukuta hamko tayari, sisi—nanyi pia—tutaona aibu kwa sababu ya uhakika wetu kwenu. 5 Basi niliona ni jambo muhimu kuwatia moyo akina ndugu watangulie kuja kwenu na kuitayarisha mapema zawadi yenu ya ukarimu iliyoahidiwa, ili iwe tayari kama zawadi ya ukarimu, bali si kama kitu cha kulazimishwa.

6 Lakini kuhusu hili, yeyote anayepanda kwa uhaba atavuna pia kwa uhaba, naye anayepanda kwa wingi atavuna pia kwa wingi.+ 7 Kila mmoja na afanye kama alivyoazimia moyoni mwake, si kwa kutopenda* wala kwa kulazimishwa,+ kwa maana Mungu humpenda mtoaji mchangamfu.+

8 Isitoshe, Mungu anaweza kufanya fadhili zake zote zisizostahiliwa ziwe nyingi kuwaelekea, ili sikuzote muwe na vitu vya kuwatosheleza kabisa katika kila jambo, na pia muwe na vingi kwa ajili ya kila kazi njema.+ 9 (Kama ilivyoandikwa: “Amegawa kwa wingi;* amewapa maskini. Uadilifu wake unadumu milele.”+ 10 Basi Yule ambaye humgawia mpandaji mbegu kwa wingi na mkate wa kula atawagawia na kuwazidishia ninyi mbegu ili mzipande naye ataongeza mavuno ya uadilifu wenu.) 11 Katika kila jambo mnatajirishwa kwa ajili ya kila namna ya ukarimu, ambao kupitia kwetu hufanya watu wamshukuru Mungu; 12 kwa kuwa huduma ya utumishi huu wa watu wote si kuandaa vizuri tu mahitaji ya watakatifu+ bali pia kuwe na utajiri wa shukrani nyingi kwa Mungu. 13 Kupitia uthibitisho wa huduma hii ya kutoa msaada, wanamtukuza Mungu kwa sababu mnajitiisha kwenye habari njema kumhusu Kristo, kama mlivyotangaza hadharani, na kwa sababu ninyi ni wakarimu katika mchango wenu kwao na kwa wote.+ 14 Na kupitia dua kwa ajili yenu, wanaonyesha upendo wao kwenu kwa sababu ya fadhili nyingi zisizostahiliwa za Mungu juu yenu.

15 Shukrani kwa Mungu kwa ajili ya zawadi yake ya bure isiyoelezeka.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki