Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Wanadamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wanadamu
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Manukuu
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

WANADAMU

(Ona pia Jamii za Wanadamu; Mageuzi, Nadharia ya; Mwili [wa Mwanadamu])

(Kuna kichwa kidogo: Manukuu)

Biblia:

kitabu kwa wanadamu wote: g 2/09 8-9; w98 4/1 10-20; ba 3-30

dhambi ilirithiwa: w10 6/1 8-9; rs 78-80; lr 124-125

familia (ukoo) moja: w04 1/1 31; rs 25

DNA katika chembe za urithi inaonyesha kwamba wanadamu wote ni uzao wa mwanamume mmoja na mwanamke mmoja: ct 98

hatia ya damu: re 224-225

hekaya kuhusu enzi bora: g 5/08 10

jamii za wanadamu: w11 7/1 23; g 11/09 22-23; rs 94-99

kifo: g 12/07 3-9; w05 8/15 3-7; bh 61-63; rs 100-106; w02 6/1 3-8; w99 10/15 6; g99 7/22 12

Mungu hakukusudia watu wafe: w12 11/1 6-7; g 12/07 7; g 5/06 7-8; bh 59-60; rs 100, 329-330; w99 4/15 4-9

kudhoofika kwa DNA: g 11/11 8

kusudi la Mungu kuwahusu wanadamu: g 12/09 9; g 12/08 3-9; w07 1/15 23; w07 10/1 16-17; w06 7/1 5; w04 4/15 4; rs 328-330; wt 61; gu 8, 11-12, 14, 16; la 20-21; w99 4/15 7-9; g99 2/8 4-6; w98 7/15 15

kuwatumia watiwa mafuta: w12 1/15 30

Mungu hakukusudia wanadamu waishi mbinguni: w10 2/1 5

Maandiko hayafundishi kwamba wanadamu waliishi katika makao ya kiroho kabla hawajazaliwa duniani: rs 197-198

mahitaji ya lazima na yasiyo ya lazima: re 73

matatizo: w02 6/15 3-4

kama dini ni chanzo: w04 2/15 4-7

maelezo ya Stephen Hawking (mwanasayansi): g 6/07 30

suluhisho: w06 5/15 28; w02 6/15 4-7

ukosefu wa haki: g 7/12 7

muda ambao wamekuwa duniani: rs 395-396

Mungu anawajali: w11 2/1 17; w11 10/1 5; w10 5/1 3-6; rk 3; w07 1/15 21-23; g 11/06 9; rs 126-127, 216-217

suala la utimilifu: w09 4/15 4-7; bm 9; w08 12/15 4-6; w06 8/15 21-22; w06 11/15 4-7; jd 33; bh 51, 116-117, 119-124; rs 272, 352-353; w03 1/15 4-6; lr 208-211; cl 123-125

uhitaji wa kiroho: g 12/09 12-13; g 12/08 5-6; w05 7/1 4-7; w04 2/1 3-7; w03 7/15 7; g96 8/8 28-29

uhuru wa kuchagua: w10 9/1 14; bh 113-114; rs 352; lr 207-208; w01 5/15 5; w00 10/15 14-15

ukosefu wa umoja:

kushinda ubaguzi: g97 4/8 30; g96 7/8 3-8

ulimwengu wa wanadamu:

watu waliotenganishwa na Mungu: lr 140-141; w00 7/1 11

urefu wa maisha: g 5/06 2-9; w04 11/15 3-4; rs 329-331

manufaa ya mazoezi: g99 7/22 6; g98 10/22 28

muda ambao wanadamu wanatarajiwa kuishi umeongezeka: g99 7/8 3; g99 7/22 3-4; g99 12/8 7

utawala wa Ibilisi: rs 266, 273

utendaji wa Mungu unaohusisha wanadamu: w99 8/15 14-15

‘awatiisha chini ya ubatili’ (Ro 8:20): w03 9/1 10-11; w99 8/15 29

jaribu la mwisho baada ya Utawala wa Miaka Elfu (Milenia): w06 5/15 6-7; re 291-292; w05 5/1 20; bh 215; wt 189, 191

Mungu anapoingilia kati: g 11/06 6-7; w03 10/1 4-7

Mungu atakaa pamoja wanadamu (Ufu 21:3): re 303

wanadamu watafanywa kuwa wakamilifu: w10 5/1 4-6; cl 246

“utumwa wa uharibifu” (Ro 8:21):

utakwisha: w12 3/15 23; wt 187-189

uumbaji wa mwanadamu: w11 1/1 6-7; w11 2/15 9; bm 4; ct 97-100

Adamu: w09 9/1 12-13; rs 393

kuamini kwamba wanadamu wameumbwa huleta amani ya akili: w08 2/1 4-5

mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu: w11 2/15 9; g 12/09 12; w08 10/1 15; w05 7/1 4-5; w02 2/15 4; w02 6/1 9-10; w00 11/15 25; w97 2/1 9-10, 12; w97 7/15 4-5

mwanadamu ‘ameumbwa kwa njia ya ajabu’ (Zb 139:14): g 5/11 3-8; w07 6/15 21-25

mwanamume na mwanamke waliumbwa ili wakamilishane: w07 1/15 3

uwezo wa kufanya maamuzi ya maadili:

dhamiri: lv 15-17; w07 10/15 20-21; w05 10/1 12; w00 5/1 16

wanadamu ni bora kuliko wanyama: w07 6/15 23; g03 3/8 10-11; w99 6/15 17-18; g98 6/22 3-11; w96 4/1 13

hisabati: ct 61

kusimama wima: g 5/11 3-4

maadili: w04 12/1 3

muziki: g99 10/8 5

ubongo: ct 54-56, 65-66

uwezo wa kufikiria wakati ujao: ct 69-71

uwezo wa kuwasiliana: g03 9/22 8-9; w99 6/15 17; ct 56-61

wanadamu si wana wa Mungu wanapozaliwa: rs 98; wt 184-185

wanadamu wanahitaji—

fidia: w11 3/1 16; w10 6/1 8-9; w10 8/15 13-14; rs 26, 78-80; cl 138-139, 141-142; w01 11/15 4-5; ct 156-157; rq 6

utawala wa Mungu: w03 1/15 4-5; wt 51-53; w00 10/15 13-14

wokovu: w08 3/1 3

wanadamu wanavyofanana na wanyama:

maisha: w97 2/15 10-12

wanafananishwa na bahari: re 113, 135, 183, 189, 223, 286, 301

watakuwa wakamilifu: wt 96-98, 188-189; w00 6/15 5-7

yaelekea wanadamu wamezaliwa na tamaa ya kucheza dansi: g 5/11 29

Yesu anakuwa “Baba wa Milele” (Isa 9:6): cf 23, 189; g 12/06 5-6; lr 192-193; ip-1 131

Manukuu

wanadamu wa jamii zote walitokana na mtu yuleyule wa kwanza: rs 25

watu wote wa dunia ni familia moja na wana asili moja: rs 25

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki