BABILONI (Milki)
(Ona pia Babiloni [Kusini-Mashariki mwa Mesopotamia]; Ukaldayo; mtawala hususa)
Babiloni yateka Ashuru:
Wamedi washiriki katika utekaji: ip-1 178-179
biashara: re 13
dini za Babiloni: re 14, 235-236; dp 69, 71
kutokufa kwa nafsi: w12 12/1 19; rs 30, 226; w99 4/1 11; ie 6-7
mahekalu: rs 28
majaliwa: g99 8/8 5-6
mazoea ya uchawi: rs 30
roho: dp 104
sanamu: rs 29-30
zinavyoathiri ulimwengu: re 14; rs 28-30
Hezekia awakaribisha wajumbe kutoka Babiloni: g 11/12 24; ip-1 396-397
historia:
Berossus: w11 10/1 29
inafananishwa na—
kichwa cha dhahabu (Da 2): dp 50
kichwa cha tatu cha mnyama-mwitu (Ufu 13:1): w12 6/15 9-10
simba (Da 7): dp 131-132
kutekwa kulitabiriwa:
Isaya: g 2/11 17-18; ip-2 70-72, 76-82, 106-115
Seraya atupa kitabu cha kukunjwa ndani ya Efrati (Yer 51:59-64): re 269
lugha:
Kiakadi: w08 12/15 21-22
maelezo: g 1/11 10-13; gl 22-23
majina ya miungu mbalimbali:
Beli: ip-2 93-96
Marduki (Merodaki): ip-2 124; dp 69-70
Nebo: ip-2 93-96; dp 70
Nergali: w02 10/15 4
Shamashi: re 249
Sini: re 249
miungu: re 249; w02 10/15 4
miungu mitatu katika mungu mmoja: g 1/11 13; re 249; rs 29
muungano pamoja na Wamedi: ip-1 178-179
ramani za Milki ya Babiloni: gl 23; dp 66
serikali kuu za ulimwengu: w12 6/15 9-10
ilitabiriwa kwamba Babiloni ingekuwa milki ya ulimwengu: jr 158
sheria:
usahihi wa Danieli (kitabu cha Biblia): dp 20-22
Sheria za Hamurabi:
sheria kuhusu wizi: re 13
siasa: re 12-13
tarehe za matukio (kronolojia):
Milki Mpya ya Babiloni: w11 10/1 29-31; w11 11/1 28
uaguzi: ip-2 113-115
unajimu: rs 175
vita vya Karkemishi: jr 24; dp 31
vitu vya kale vilivyochimbuliwa:
bamba la Nebo-sarsekimu (eneo la Baghdad): g 5/09 11
bamba la udongo la VAT 4956: w11 11/1 25-28
bamba la udongo linalotaja mwaka wa saba wa utawala wa Cambyses wa Pili: w11 10/1 28
bamba lenye picha ya Marduki na Nebo: dp 70
chombo kilichokuwa na maandishi ya Evil-merodaki (Amili-Merodaki) (Susa [Shushan]): w12 6/1 5
hifadhi za hati za biashara za Wayahudi (Nippur): w08 12/15 22
joka anayemfananisha Marduki: ip-2 124
Maandishi kwenye Mwanzi wa Koreshi: g 6/12 13-14; g 2/11 16-17; w08 12/15 22; g 11/07 18; w06 1/15 17
maandishi yanayoonyesha mfuatano wa matukio katika Milki ya Babiloni: w11 11/1 23
mabamba ya udongo kuhusu utawala wa Ashur-etel-ilani: w11 10/1 31
mabamba ya udongo yaliyoandikwa wakati wa utawala wa Sin-sharra-ishkun: w11 10/1 31
picha ya Nebukadneza wa Pili (anayetajwa katika Biblia): g 6/12 13; dp 70
sanamu za maini zilizotengenezwa kwa udongo: g 1/11 11
silinda yenye jina la Belshaza: g 1/11 11
Wababiloni wavamia Yuda (609-607 K.W.K.):
hukumu ya Yehova: w00 2/1 10-11; ct 140-142; w97 12/15 13-14
Wababiloni wavamia Yuda (618-617 K.W.K.): jr 24-25
Yehoyakimu afa: jr 24
Wamedi na Waajemi wateka Babiloni:
mwaka: w11 10/1 28
walitokea kaskazini (Isa 41:25; Yer 50:9): ip-2 28
Wamedi walivyohusika: ip-1 176-180
watawala (maelezo): dp 50
“mfalme wa Babiloni” (Isa 14:4): w02 9/15 30; ip-1 182-183
watawala mbalimbali:
Belshaza: g 1/11 10-11; w00 5/15 11-12; dp 15-17; w98 9/15 8-9
Evil-merodaki (Awil-Marduk, Amil-Marduk): w11 10/1 29
Koreshi Mkuu: g 6/12 14; w11 10/1 28
Labashi-Marduki: w11 10/1 29
Nabonido: w11 10/1 29; dp 99-100
Nabopolasa: w11 10/1 29
Nebukadneza wa Pili: w11 10/1 29; w00 5/15 12; dp 63, 65, 69
Neriglissar (Nergal-sharezer): w11 10/1 29
Wayahudi wapelekwa uhamishoni:
617 K.W.K.: jr 24-25
hali ya Wayahudi waliokuwa uhamishoni: ip-2 232-233, 365, 367-368
lazima warudishwe kwao: w12 6/15 9
unabii wa Isaya: ip-1 396-397
Wababiloni walikuwa wakatili: ip-2 108-110