SILAHA
(Ona pia Bunduki; Silaha [Kupunguza]; Silaha za Nyuklia)
gharama: re 250
duniani kote: g96 11/8 29
gharama ya kila dakika: re 94
gharama yalinganishwa na gharama ya kutunza afya: g01 7/22 31; g96 7/22 28
kiasi cha risasi za bunduki zinazotengenezwa: g 12/07 29
kudhibiti utengenezaji na mauzo:
silaha ndogondogo: g01 3/22 9-11
mabomu ya kutegwa ardhini: g02 5/8 5-6; g02 9/8 28; g01 6/22 28; g00 5/8 3-9; g00 12/8 8; g99 6/8 3, 6; g97 10/22 7-8; g96 12/22 28-29
jitihada za kuyaondoa ardhini: g00 5/8 6; g97 3/22 28; g96 2/22 28
mmea unaoyafichua: g04 12/22 28-29
yanayokusudiwa kuwadhuru wale wanaoondoa mabomu ya kutegwa ardhini: g00 5/8 29
maelezo: g02 5/8 4-8
makombora:
aina ya V-1 na V-2: g04 12/22 21
makombora ya vita vilivyopita ambayo hayakulipuka:
baadhi yake yalitupwa baharini: g00 8/8 28-29
uwezo wa mimea wa kuondoa vilipukaji: g97 9/22 29
Vita vya Kwanza vya Ulimwengu: g02 1/8 28; g99 2/8 28-29
Vita vya Pili vya Ulimwengu: g02 1/8 28; g98 3/8 26-27
mambo yaliyoonwa:
muuzaji wa silaha: w08 8/1 30
maoni ya Kikristo:
hakuna silaha ‘itakayofanywa juu yako ambayo itafanikiwa’ (Isa 54:17): w08 9/15 7-8; w08 11/15 28; w07 12/15 21-25; ip-2 229-230
kazi inayohusisha kuwa na silaha: w05 11/1 31; w05 12/15 30
mauzo ya silaha: g01 3/8 14
baada ya Vita Baridi: g 4/06 29; g96 4/22 5
ongezeko: g 1/11 14
umuhimu katika uchumi wa ulimwengu: re 263-264
ndege za vita: g 10/07 22-23
Nobel, Alfred: g02 5/8 3-5, 8
silaha ndogondogo: w04 1/1 4; g03 2/22 28; g02 5/8 5; g01 3/22 3-11
bunduki inayolenga shabaha kwa usahihi: g01 3/22 8
silaha za kibiolojia na za kemikali: g 9/12 6; g02 5/8 6-8; g02 9/22 3-11; g99 8/22 6
silaha za kiroho: w04 2/15 27-28; w02 12/1 22-23
silaha za watu binafsi:
serikali ya Brazili yanunua silaha za raia ili kutengeneza vitu vya kuchezea: g05 9/22 28
silaha za Yehova, katika Har-Magedoni: w05 12/1 6
silaha zinakopelekwa baada ya vita: g01 3/22 6-8
simulizi la maisha “Mtengenezaji wa Silaha Awa Mwokoaji wa Uhai”: w00 8/1 24-28
wanasayansi wanaotengeneza silaha:
idadi: re 94
zitaondolewa kabisa: g99 8/22 10-11
‘panga zitakuwa majembe’ (Isa 2:4): g01 3/22 11; ip-1 45-48